Mhe.
Edward Ngoyai Lowassa akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu
Peter Kisumo huko Usangi Kilimanjaro, Peter Kisumo ni mmoja wa Waasisi
wa TANU na ccm,Mzee Kisumo alifariki tarehe 3/8/2015, Mungu ailaze roho
ya marehemu Peter Kisumo Amen.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment