06 October 2015

KIMENUKA..Mchungaji Gwajima Atakiwa na Familia Kumfufua Kaka Yake...Apewa Siku 14 la Sivyo Atashtakiwa

Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima.
********* ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ametumiwa waraka mzito na wanaodai kuwa watoto wa kaka yake Gwajima, Faustine Mathias Gwajima, ambaye kwa sasa ni marehemu, wakimtaka askofu huyo kumfufua baba yao ndani ya siku 14 la sivyo watamfikisha mahakamani kwa kile walichokitaja kuwa amewasababishia athari kubwa za kisaikolojia kwa muda mrefu. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname