12 October 2015

Kumekucha... Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Amewasili Nachingwea


Msafara wa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli Amewasili Nachingwea. Mkutano unafanyika katika uwanja wa Sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname