Na Victoria Patrick, Dar es Salaam
KAMISHINA
Msadizi na Mwandamizi mstaafu wa Jeshi la Polisi, Aden Mwamunyange
ambaye ni kaka wa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali
Davis Mwamunyange, naye amekanusha taarifa zilizoenezwa hivi karibuni
katika mitandao ya jamii kuwa amelishwa sumu.
No comments:
Post a Comment