MAYASA MARIWATA NA BONIPHACE NGUMIJE
MWANAMITINDO
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba,
wamethibitisha kuwa wana maelewano mazuri (picha zinaiva) baada ya
mwishoni mwa wiki kuonekana pamoja katika bonanza maalum la wanafunzi,
lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment