Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha.Waandishi wetu
OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha
amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na
aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume
huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano
linakupa zaidi.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment