18 October 2015

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYO KUTANA NA MKE WA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname