18 October 2015

Historia!!! Ni mara ya kwanza Mkoa wa Mgombea kupokelewa na Umati mkubwa kiasi hiki!!! CCM sio Mchezo... Ni Kazi Tu

Mgombea Urais Kutoka chama cha mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli ameweka historia katika jiji la Mwanza maarufu kama Rock City. Maelfu ya watanzania wameonesha msimamo wao wa kumuunga mkono Mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli.







No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname