05 October 2015

HISTORIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA, JINSI ALIVYOANZA SAFARI YA MAISHA YA SIASA TANZANIA


MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini.
Mtikila alizaliwa mwaka 1950 mkoani Iringa, kusini mwa nchi yetu.
(Kwa bahati mbaya, hadi nachapisha uchambuzi huu sikupata taarifa za elimu yake) kwani hakuwa mwepesi kutoa ushirikiano mwezi mmoja uliopita alisafiri kwenda nje ya nchi na kurejea wakati nikiwa katika hatua za mwisho za uhariri.
Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi na mkuu wa kanisa la Kipentekoste la Full Salvation Church. Lakini pia kwa muda mkubwa wa maisha yake amekuwa anajihusisha sana na harakati za haki za binadamu kwa kupitia kitengo cha haki za binadamu cha kanisa hilo kiitwacho “Liberty Desk”.  


BOFYA HAPA KUONA HISTORIA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname