Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward
Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani
Pemba leo October 3, 2015..
No comments:
Post a Comment