21 October 2015

Full Time ya Arsenal Vs FC Bayern Munich na matokeo ya mechi nyingine za UEFA October 20



Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea leo October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Miongoni mwa mchezo uliyovuta hisia za mashabiki wengi wa soka ni mchezo kati ya Arsenal dhidi ya FC Bayern Munich ya Ujerumani ambayo kabla ya mchezo huo kumalizika ilikuwa haijapoteza mechi hata moja
SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname