Yadaiwa kuwa sababu ni hitilafu ya umeme
Nyumba ya makazi ya mwenyekiti wa chama cha NCCR-MAGEUZI,JAMES
MBATIA,imeteketea kwa moto jana majira ya saa saba unusu mchana , kwa
kile kilichoelezwa kuwa huenda ni hitilafu ya umeme unaosemekana
kukatika asubuhi na kurejea mchana kwa kasi zaidi.
Akizungumza ,kaka wa James Mbatia FELIX KESSI,amesema hadi sasa
wanachoweza kueleza ni uharibifu uliotokea kutokana na moto huo , kwani
hawakuwepo wakati wa tukio , ingawa anawashukuru majirani walioweza
kuokoa baadhi ya vitu vya ndani.
Amesema ni mapema mno kuzungumzia aina ya uharibifu kwani atakayeweza
kujua zaidi ni mkewe na Mbatia ambae
No comments:
Post a Comment