17 October 2015

BREAKING NEWS: WAFUASI WA CCM NA CHADEMA WACHOMANA VISU TUNDUMA.... WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA

Watu wawili wamefariki dunia baada ya vurugu kubwa kutokea kati ya wafuasi wa CCM na CHADEMA katika mji mdogo wa Tunduma Mkoani Mbeya
Vurugu hizo zimetokea baada ya wanachama wa CCM kuweka mawe barabarani ili wafuasi wa CHADEMA wasipite kuhudhuria mkutano wa Lowassa.   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname