Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
BOFYA HAPA KUONA TAARIFA YA BUNGE KUHUSU KIFO CHA WAZIRI HUYO
BOFYA HAPA KUONA TAARIFA YA BUNGE KUHUSU KIFO CHA WAZIRI HUYO
No comments:
Post a Comment