18 October 2015

BREAKING NEWS: CHOPA YA LUSINDE YAPATA HITILAFU,,AAPA KUTOIPANDA


Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde
Chamwino. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ameapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni, baada ya helikopta aliyokuwa anatumia kupata hitilafu na kushindwa kuruka katika Kijiji cha Idifu wilayani hapa, juziLusinde maarufu kwa jina la Kibajaji alithibitisha kuwa helikopta hiyo ilishindwa kuruka baada ya rubani kubaini ilikuwa na hitilafu, na ilikuwa imetua katika eneo la kichaka kijijini hapo.
Jana asubuhi alifika mtaalamu wa ndege kutoka Afrika Kusini na kuirusha hadi Dodoma Mjini.  

1 comment:

  1. UNAULIZA LOWASSA NA MAGUFULI NI NANI ZAIDI,HAPO UNGEENDELEA,LOWASSA NA MAGUFULI NI NANI ZAIDI KATIKA KUAMBATANA NA WASANII NA WANAMUZIKI MAJUKWAANI ILI AWAVUTE WATU WAJE KUONA,AMBAO KWA KWELI WANACHOFUATA PALE NI KUWAONA 'LIVE' TENA BUREEE,DIAMOND,ALLY KIBBA,COMMEDY,NA WENGINEO WENGI,WENGI,WENGI MNO.HAPO UNGEPATA JIBU SAHIHI,NA MBONA IKO WAZI TUU.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname