WAPENDA
USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi
niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu
yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza
jamiikwa asilimia 50 kwa 50
WANAOJUA
MAPENZIWanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao
kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti
zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa
sita kwasita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za
wanaumebila kujali sifa zao za nje au za ndani
MARAFIKI
Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia
wanaume.Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna
wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye
shida naraha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, ni waungwana na wapenda
amani
WAPENDA UWAZI
Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo
nawapenda uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi
kwakisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina
hiiwamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu
katikauelewa wa mambo.
WANAOJITEGEMEA
Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na
akina‘naomba vocha’ kila siku. Uchunguzi unaonesha kuwa wanaume wa
leohawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza
stareheza upande mmoja.
WASIO
NA PRESHANikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha
wasiolazimisha vituvitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo
yatokee yenyewe nakazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama
wapenzi
MARIDADI
Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia
usafina kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje
lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa
mwonekano.
WANAORIDHIKA
Wanawake ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa
kwawanaume. Hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa
mapenzikwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza
kutokajuu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili
tabia ni sifa njema ya mwanamke
WA
MMOJA Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari
kukwepa kilaaina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana
vitu vya ziadazaidi ya waliowachagua mwanzo, wanahitajika sana.“Niliye
naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.”Kundi la wanawake
wa aina hii ni adimu na muhimu sana.
CREDIT:DODOMA CLAN
No comments:
Post a Comment