Mratibu
wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu
Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la
Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana.
MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini
kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli.
No comments:
Post a Comment