Wananchi
wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa
Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo leo Septemba
28, 2015.
No comments:
Post a Comment