Siku
mbili baada ya tahasisi ya TWAWEZA kutoa matokeo ya utafiti ukionesha
kama ucaguzi ungefanyika kati ya august 19/2015 na septemba 7,2015
mgombea urais kupitia CCM angeshinda kwa aslimia 65 dhidi ya 25 za
mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa,leo vigogo wa chadema wamejitokeza
mbele ya waandishi wa habari na kutoa matokeo ya utafiti wanaodai
kufanywa na tahasisi za kimataifa unaonesha lowassa kushinda kwa aslimia
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI RIPOTI YA UTAFITI HUO
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI RIPOTI YA UTAFITI HUO
No comments:
Post a Comment