03 September 2015

SHILOLE AMJIBU NUH MZIWANDA KWA KUCHORA HII TATTOO,MAMBO YOTE SAWA SASA

Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname