Marehemu Manka Omari enzi za uhai wake. Inatisha! Kijana anayedaiwa ni denti wa sekondari aliyetajwa kwa jina la Manka Omari (19), mkazi wa Golani-Kimara jijini Dar, anadaiwa kuuawa kikatili kwa kuchinjwa na kutolewa utumbo na watu wenye hasira kali akituhumiwa kupora simu kutoka kwa mtu. Tukio hilo lililozizima maeneo hayo lilitokea usiku wa manane wa kuamkia Agosti 31, mwaka huu ambapo awali inaelezwa kuwa Manka alipoteza simu yake siku chache zilizopita lakini Agosti 30, aliiona akiwa nayo mtu mwingine mtaani, akamnyang’anya baada ya kutoelewana, jambo lililosababisha aitiwe kelele za mwizi.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment