Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mzazi mwenzake Moze Iyobo. Stori: brighton masalu KUFUATIA kuwepo kwa madai na minong’ono mingi ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kumzidi umri mzazi mwenzake, Moses Iyobo, muigizaji huyo ‘amewaka’ na kuwataka watu wasiingilie uhusiano wao na kwamba suala la umri kwao ni namba tu.
No comments:
Post a Comment