RAIS
Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali yake
katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea.
Rais Kikwete, alitoa
kauli hiyo juzi, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya NDI
yenye uhusiano na Chama cha Democratic, IRI yenye uhusiano na Chama cha
Republican, IFES na United States Institute of Peace (USIP) mjini
Washington nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment