Sio kitu kilichozoeleka kwa shirika la habari maarufu duniani CNN kumfuata msanii wa Afrika nchini mwake kwaajili ya kumhoji.
Diamond akiwa na mwandishi na cameraman wa CNN
CNN wametua Dar na kufanya interview na muimbaji wa Nana, Diamond
Platnumz. Staa huyo ameshare picha kwenye mtandao wa Instagram na
kuandika: Thanks alot @CNN it was a great interview….”
Haijulikani kama waandishi hao wa CNN walikuja Dar kwaajili ya
interview pekee na Diamond lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa wapo nchini
kwaajili ya kuripoti masuala ya uchaguzi na wametumia fursa hiyo
kumhoji.
Wakati huo Diamond ameshare picha hiyo chini na kunukuu maneno ya John Lennon: When
I went to school they asked me what I wanted to be when I grew up, I
wrote down HAPPY. They told me I didn’t understand the assignment and I
told them they didn’t understand LIFE Happy Maulid … #TheChibus.
No comments:
Post a Comment