Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye
ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani
leo jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani
ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba
yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UN General
Assembly.
No comments:
Post a Comment