Picha,Vazi la Rihanna la usiku nchini Brazil,kila mtu alitaka kumpiga picha.
Rihanna ameonekana kwenye mgahawa wa watu maarufu nchini Brazil akiwa
amecalia Bra nyeusi na nguo ya ndani nyeusi huku gauni alilovaa
likionyesha umbo lake lote kwa ndani. Mgahawa huu upo Rio, Brazil.
No comments:
Post a Comment