Rnb Super Star Chris Brown ni miongoni mwa masta wenye magaro mengi
na yakifahari kwenye gereji za majumba yao na hivi karibuni staa huyu
amenunua gari mpya aina ya Lamborghini ila alikosa mahali pakuegesha
gari hii na ndio akaiweka ndani ya sebule yake.
No comments:
Post a Comment