Watu
watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari
iliyokea kijiji cha Matandalani wilaya ya Mlele mkoani Katavi baada ya
gari aina ya NOAH lenye namba T 451 DDP ikitokea Mpanda mjini Kuelekea
Sitalike kupinduka na kuacha njia.
No comments:
Post a Comment