| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha Bi. Victoria Richard Mwakasege aliyekuwa Naibu Balozi wa
Tanzania nchini Burundi. Balozi
Victoria R. Mwakasege anaiwakilisha Tanzania nchini Malawi. Hafla hiyo
ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 16 September, 2015 |
No comments:
Post a Comment