MCHUMBA WA DR. SLAA AJITOKEZA NA KUFUNGUKA MAZITO, SOMA HAPA ALICHOSEMA
Hatimaye
mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na
kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na
kwa mume wake na zaidi akisema yote
yanayosemwa dhidi yao hayako katika
fikra zao kwani kwa sasa baada ya kuachana na siasa wanajipanga
kuelekea upande mwingine wa kuwa wawekezaji.
No comments:
Post a Comment