Mh MBOWE akizngumza na wahabari mapema leo Jijini Dar es salaam
Umoja
wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umeitaka Tume ya taifa ya uchaguzi
kutoa tamko kuhusu kauli iliyotoleawa na mmoja wa viongozi wa CCM kuwa
chama hicho hakipo tayari kuondoka ikulu hata kama kitashindwa katika
uchaguzi ujao mwaka huu.
No comments:
Post a Comment