Mama
wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim. KWELI maisha si
popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote
umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama
wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia
mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje
kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa
na mawasiliano.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment