Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, wakiwasili kwenye Uwanja
wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3,
2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZOTE
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZOTE

No comments:
Post a Comment