
Mgombea
wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amefunguka na
kuwaomba Watanzania kumpa kura ambazo ameziita bakora ili awacharaze
viboko watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ufisadi nchini.
No comments:
Post a Comment