16 September 2015

DIAMOND PLATINUMS APOKEA USHINDI WA TUZO NYINGINE

Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mtu wetu Diamond Platnumz kwani amekuwa wa kupokea na kutajwa kwenye tuzo nyingi sana kwa mwaka huu wa 2015 na siku chache zilizopita Diamond Platumz alitajwa kuwania tuzo nyingine tena za kimatatifa MTV EMA 2015 jijini Milan Italy

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname