14 September 2015

Jidenna aliyeimba ‘Classic man’ amtaja msanii wa Nigeria anayemkubali zaidi.

3-Jidenna-
Muimbaji Jidenna aliyezaliwa Nigeria ambaye kwa sasa anafanya kazi zake nchini Marekani amemuongelea msanii wa Nigeria anaye mkubali zaidi.
Jidenna aliyepata umaarufu na wimbo wake wa ‘Classic man’  amesema anamkubali zaidi msanii Wiz Kid aliyeimba wimbo ‘Ojuelegba’ .
Jidenna anasema “Napenda sauti ya Wiz Kid, napenda timu yake ya maproducer anaofanya nao kazi, nilikuwa nao hivi karibuni, naangali kinachokuja kati yetu “.
Jidenna na Wizkid walifanya show pamoja kwenye tamasha la Africkan Festival mwezi wa saba mwaka huu.
wizkid-jidena
 SkalesJid

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname