HIVI NDIVYO MKE WA DR. SLAA ANAVYO KULA BATA NCHINI MAREKANI...AKIWA NA PIKIPIKI YA KIFAHARI
Mwandishi
Wetu WAKATI nyumbani Bongo moto mkubwa umewashwa na mumewe aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod
Slaa, Josephine Mushumbusi amekuwa gumzo Marekani.
Kwa mujibu wa
Mbongo aishiye nchini humo akitumia mtandao wake wa Instagram, mara
baada ya Josephine kutua nchini humo akiwa na familia, baadhi ya Wabongo
waishio humo walipata habari kupitia mitandao ya kijamii, wakaanza
kumtafuta. .
No comments:
Post a Comment