05 September 2015

WANASHERIA NA WASOMI MBALI MBALI WATIA SHAKA UANASHERIA WA TINDU LISU

Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.
Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi
mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname