08 September 2015

ASKOFU GWAJIMA ANAMJIBU DR SLAA MUDA HUU LIVE UPDATE MKUTANO WAKE



Gwajima anaonyesha meseji aliyotumiwa na Dr. Slaa kuhusu kustaafu kwake siasa
Gwajima: Kama Dr. Slaa anakaja aje atoke hapa akane aone mambo ya mshenga yalivyo, watu wanashangaa Slaa anaweza kufanya haya! Si yeye ni mama. Slaa alikuwa adili, sasa uzoefu wa ndoa hana, bora sisi wachungaji tunaoa. 


BOFYA HAPA KUSOMA LIVE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname