01 August 2015

UJUMBE TOKA KWA DR SLAA HIVI PUNDE...AJIANDAA KUTOA KAULI YAKE KWA TAIFA HIVI KARIBUNI


 3h
Sijatoweka, sijajificha, sina sababu ya kufanya hayo katika nchi huru. Niko salama na buheri wa afya. Niko katika tafakari, nitazungumza.
Bado sijazungumza lolote kuhusu ujio wa Lowassa Chadema. Yote yanayosambazwa kwamba ni kauli yangu ni uongo mtupu. Nitazungumza.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname