SAKATA LA MTOTO WA DIAMOND PLATINUMS NA ZARI .MAMILIONI YATENGWA...MUME WA ZARI ACHACHAMAA!
Sakata
la yule jamaa aitwaye King Lawrence, raia wa Uganda mwenye maskani yake
nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ anayedai kuwa mtoto wa staa wa Bongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake,
Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’
siyo wa mwanamuziki huyo, limechukua sura mpya.
Jamaa huyo amefunguka upya kwamba, ametenga mamilioni ya fedha kumpora Diamond bintiye Tiffah.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment