Muziki wa Tanzania unaendelea kukua kila kukicha! na imekuwa na
chanzo kikubwa cha ajira kwa baadhi ya vijana hapa Tanzania! Diamond
Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wana mafaniko sana katika ukanda huu
wa Afrika ya Mashariki, Mafanikio ya Diamond yameweza kunufaisha pia
Dancers wake.
Diamond Platnumz kupitia mtandao wa Instagram ameandika “Huwa
nafarijika na kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ninapoona vijana wenzangu
ninaofanya nao kazi licha ya kidogo tukipatacho ila wanakuwa na akili ya
kukitumia kimaendeleo… Mwenyezi Mungu akuongeze akili na maarifa ufanye
mengi mazuri zaidi ya hili @dumyutamu @dumyutamu @dumyutamu“
No comments:
Post a Comment