
James Mbatia ni mmoja wa Viongozi wa Umoja wa UKAWA, ambaye jana alikutana na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya NCCR- Mageuzi, Ilala Dar
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia ni UKAWA kuzuiwa kutumia Uwanja wa Taifa kwenye uzinduzi wa Kampeni zao, na kutoonekana kwa Dk. Slaa .
“Kampeni zinaanza nawasihi Wanasiasa wote wachunge ndimi zao sana, tujadili hoja kwa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa sio kujadili watu, matusi, wala kupigana ngumi au kumwaga damu
No comments:
Post a Comment