EDWARD
Lowassa ambaye ni mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kwa ushirikiano na vyama
vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) watashika dola Oktoba 25
mwaka huu saa 2:30 asubuhi. Anaandika Jimmy Mfuru … (endelea).
Akizungumza
na wajumbe wa chama hicho kwenye Mkutano Mkuu leo jijini Dar es Salaam
Lowassa amesema, hakuna sababu ya kutoa lugha za matusi huku akiwasihi
kuimarishwa kwa amani wakati wa uchaguzi huo.
No comments:
Post a Comment