JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA WATOA TAARIFA KUHUSU JESHI LA UKAWA
MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA
URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA
VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA
KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA
NAFASI YA URAIS.
No comments:
Post a Comment