HIKI NDICHO ALICHOKIJIBU ZARI THE BOSS WA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU MPANGO WA IVAN NA KING LAWRENCE
Hatimaye
Zari The Bosslady ameamua kumjibu ex wake Ivan na swahiba wake King
Lawrenc ambao wamekuwa wakimtupia madongo kuwa mtoto wake Tiffah si wa
Diamond, ni wao.
King Lawrence alienda mbali zaidi kwa kutumia
kampuni ya wanasheria kumtaka achukue vipimo vya DNA vya kichanga hicho
chenye zaidi ya followers 80k kwenye Instagram.
No comments:
Post a Comment