EDWARD LOWASSA ATOA UJUMBE MZITO ASUBUHI HII
Hakuna maneno yanatosha kuelezea furaha yetu leo, kwa maandamano haya ya amani na ya kihistoria nchini kutusindikiza mimi pamoja na Juma Duni kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi. Mmetupa nguvu na imani kubwa kwa wingi na hamasa mliyokuwa nayo
No comments:
Post a Comment