02 August 2015

BREAKING NEWS NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA MAKONGORO MAHANGA AMETANGAZA RASMI KUJIUNGA CHADEMA

Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM. 


BOFYA KUSOMA TAARIFA YAKE YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname