18 July 2015

WANANCHI WA MOROGORO MJINI WAMNUNULIA FOMU ABOOD ILI AENDELEE KUWA MBUNGE WAO JIMBO MOROGORO MJINI

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea Michango ya wanafunzi waliojitokeza Kumchangia Mbunge huyu ili achukue Fomu ya Kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo Kupitia Chama cha Mapinduzi Mara Baada ya Kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya Mammbo mengi ya Maendeleo Ikiwemo Kuwalipia Ada zaidi ya wanafunzi 500 Wasiokuwa na uwezo wa Kujilipia ada na wanaoishi Katika Mazingira Magumu
 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea Kiasi cha Shilingi 50000/= kutoka Kikundi cha Tushikamane Kata ya Kilakala kwa lengo la kumtaka mbunge huyo achukue fomu ya Kugombea Tena Ubunge wa Jimbo Morogoro Mjini .Wanachama wa Kikundi hicho wamesema  wamesukumwa kufanya hivyo Mara baada ya kurishishwa namna Mbunge huyo anavyovisaidia vikundi nvya wajasiriamali wa Jimbo hilo.Hadi sasa Makundi Mbalimbali na wananchi Binafsi wamejitokeza   Kumchangia na Kumshawishi Mbunge huyo kuchukua fomu na kugombea tena awamu nyingine ya ubunge wa jimbo hilo..


 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname