20 July 2015

Video: Davido akiongelea ushindi wa tuzo yake na ya Diamond Platnumz MTVMAMA 2015

Baada ya kuchukua tuzo kwenye MTVMAMA 2015, Davido na Diamond wamezidi kuonyesha ukaribu wao ambao ulipoa kwa muda mrefu sasa.

Davido anaonekana kufurahishwa na ushindi wa tuzo ya Diamond kutoka Tanzania na ushindi wake pia

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname